Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Haikubaliki na wala hatuwezi kukaa kimya mpaka leo bila Polisi kuueleza umma hao vijana wavuta bangi wameshakamatwa au bado?
Ushahidi upo wazi na sura zao zinaonekana, maana yake wote wanajurikana, mfumo wa dola Tanzania unaanzia kwa wajumbe wa nyumba 10 wanawatambuwa watu wao.
Kuchakata taarifa za kukamata wahuni kama hawa ni kazi ya masaa tu tena chini ya masaa 24.
Nawauliza Polisi kwa nini wanaofanya makosa kama yule wa kuchoma moto picha ya Rais wanakamatwa haraka na wanahukumiwa haraka?
Tunaomba Rais aingilie kati hili tena Rais ni wa jinsia ya kike alipe masaa 24 jeshi la Polisi kuhakikisha umma wa Watanzania unapewa taarifa za kukamatwa kwao na kufikishwa mahakamani waende jela, hawastahili kuishi uraiani hao kabisa.
Nimemaliza.
Pia soma

- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
- TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya