Suala la elimu kutokuwepo kwenye katiba

URSO

Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
12
Reaction score
3
Hivi ni kwa nini Elimu lisiwe ni suala la kikatiba badala ya kuwaachia watu wachache kulishikilia?,

Katika nchi zote zilizo endelea Elimu imewekwa kipaumbele cha kwanza na bila shaka hakuna kiongozi yeyote anayeweza kupindisha msimamo wa taifa juu ya mipango ya elimu yao iweje,nafikiri hii imewezekana kwao kwa sababu suala hilo liko kikatiba na inalindwa,tofauti na hapa kwetu kila mtu anafanya anavyojisikia

Tusipokaa kama taifa na kuamua Elimu yetu iweje hakuna kitakachoendelea hapa Tanzania,tutabaki na umaskini wetu hivihivi na kupigizana na hizi kelele za kisiasa hatuwezi kuliachia bunge ndo liamue Elimu ya TZ iweje ingekuwa ni sawa na kuliachia bunge liamue katiba iweje, Bunge lenyewe la tz hili wataishia kuunganisha kiingereza na hesabu.,tujifunze kwa wenzetu wa china ambao once tulikuwa ktk level moja lakini sasa ni taifa la 3 kiuchumi ulimwenguni.
 
Kaka nakuombe ipitie tena rasimu hii tena kwa umakin.Elimu imeainishwa vizuri sana na itatolewa bure kwa ngazi ya primary,mimi nimependekeza na sekondari pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…