Suala la Hamza Mohammed, Wapinzani mnajiaibisha sana mbele ya umma

Hamza Msomali ni mwanachama mtiifu wa CCM, hicho chama chenu ni chama cha kigaidi.
 
Hamza alikuwa kada kindakindaki wa ccm kama ilivyo kawaida wapinzani wanatetea haki za watanzania wote wakiwemo wanaccm wanaonewa.
 
NIJUAVYO MM ,KWA KUTUMIA KUFIKIRIA BEYOND THE BOX,KUNA MAMBO MAWILI YA KUFIKIRIA KWA MAKINI :MOJA ,HAMZA ALIKUWA NA MATATIZO YA AKILI.UGONJWA ULIKUWA UNAANZA NA KUPOTEA.SWALI .NANI ALIMPA PISTO WAKATI NI MGONJWA WA AKILI?MBILI:HAMZA ANAONEKANA ANAJUA KUTUMIA SIRAHA PROFESSIONALLY.JE ALIPOKWENDA MISIRI ALIFUNDISHWA?TATU .KWANINI HAMZA BAADA YA KUWAUA ASKARI WAWILI,HAKWENDA KITUO CHA POLISI KUWAUA ASKARI WENGINE?KWANINI ALIKUWA ANADAI KWAMBA WAISLAM WANAONEWA NA POLISI NA SI MADAI YA KUIBIWA DHAHABU ,AMBAYO SISI WANASIASA NA WANAHARAKATI UCHWARA TUNAONGEA BILA USHAHID?MWISHO NIWAAMBIE,HAMZA ALITEGEMEA UBALOZI WA UFARANSA WAMSAIDIE ,NA AWE MKIMBIZI.NDIO MAANA ALIKIMBILIA PALE.HAMZA ALIKUWA MGONJWA WA AKILI NA PIA GAIDI .
 
Hamza ameondoka duniani kwa njia ya mbaya sana na ya kusikitisha
Tujifunze kuwasaidia ndugu zetu kwa kuwajengea afya ya akili wakiwa hai
Inaonekana afya ya akili ya marehemu Hamza ilikuwa ya ajabu sana.Inawachagua polisi tuu na kuwaacha raia waendelee na shughuli zao.
 
Hamza anaungwa mkono na wazalendo, wengi amba hawakufurahishwa na ushiriki wa tanpol katika matendo yao maovu dhidi ya raia sema,
 
Ungekuwa na uchungu ungeenda kuwakinga na risasi kwa kukaa katikati ya hamza na police
 
Inavyoonekana siyo wapinzani tu lakini ni pamoja na baadhi ya watu wenye mlengo wa udini.
 

mimi ni mtanzania nisie na chama tena mzarendo lakini namuunga mkono Hamza( haki huinua taifa)
 
hao wanajua wameshakataliwa na jamii,kitu wananchofanya ni kumwaga mboga kwa hasira.

kama unakumbuka shida ilianza siku JPM amefariki,wakidhani wako mbio za vijiti na wananchi kumbe wako peke yao.

hao polisi marehem na majeruhi wana ndugu,marafiki,wapenzi,jamaa na majirani.2025 utasikia tumepirwa kura,utumbo wanaoufanya saa hizi hawauoni.
 
Inavyoonekana siyo wapinzani tu lakini ni pamoja na baadhi ya watu wenye mlengo wa udini.

Kuna watu wananuona Jamaa Eti shujaa sababu kaua makafiri?!
Umeelewa vibaya kuhusu kuua makafiri, hapana, haipo hivyo.

Katika uislamu, mja akidhulumiwa haki yake, kabla hajaenda kumlilia mola wake anatakiwa kwanza apambane mwenyewe kuipigania hiyo haki. Akishindwa ndo akamlilie mola.

Na kama akiuawa wakati akipigania haki iliyo yake huyo ni peponi. Lakini pia kama akiuawa wakati akipigania DINI huyo ni pepo ya DARAJA LA KWANZA KABISA (firdaus)

Hivyo ushujaa wa Hamza sio kuhusu makafiri, bali ni namna 'alivyoonekana kupigania' HAKI yake, maana hakuwa na kisasi na RAIA yeyote!!
 


Ni kama umekubaliana na mimi kile nilichokiandika isipokuwa hilo eneo dogo tu la makafiri lakini kwa ujumla umeafikiana nami.
 
Unakosea sana kumsema shujaa halisi, acheni kubambika watu kesi.
 

Kwamba?

"Hii ni aibu na najisi kwa nchi."

Hauna haja ya kujua hii najisi imeanzia wapi? Bila kuutambua mzizi wa fitina unakotokea unaweza kutwanga sana maji.

Angalizo: Hamza hakubeba bunduki na kuanza kushambulia watu. Huyu alibeba bunduki kushambulia wabaya wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…