tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
Habari zenu wakuu,
Uongozi wa TFF chini ya jamal malinzi umemfungia ndumbaro kwa miaka saba, Dkt. Ndumbaro amelipinga hilo na amekata rufaa, naomba status kuhusu hili suala, mbona kimya saana?