tracy martins JF-Expert Member Joined Aug 5, 2014 Posts 3,535 Reaction score 1,482 Dec 18, 2014 #1 Habari zenu wakuu, Uongozi wa TFF chini ya jamal malinzi umemfungia ndumbaro kwa miaka saba, Dkt. Ndumbaro amelipinga hilo na amekata rufaa, naomba status kuhusu hili suala, mbona kimya saana?
Habari zenu wakuu, Uongozi wa TFF chini ya jamal malinzi umemfungia ndumbaro kwa miaka saba, Dkt. Ndumbaro amelipinga hilo na amekata rufaa, naomba status kuhusu hili suala, mbona kimya saana?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jan 13, 2021 #2 ππππ
M Mbegu Jr Senior Member Joined Sep 23, 2020 Posts 152 Reaction score 178 Jan 13, 2021 #3 Ukweli kiasi umeanza kuonekana malinzi alikuwa mtu hatari sana hiki kipindi sio poa sana kwa kuunda dili na kutengeneza zengwe kwa wenzako
Ukweli kiasi umeanza kuonekana malinzi alikuwa mtu hatari sana hiki kipindi sio poa sana kwa kuunda dili na kutengeneza zengwe kwa wenzako
C connections JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 2,190 Reaction score 3,039 Apr 3, 2021 #4 Mmh