iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,927
naona suala la kapuya linachukua sura ya mob justice, tumemtuhumu, tumemshitaki, tumetoa hukumu, that is not fair, hatuna tofauti na wale wanaopiga mawe wahalifu, badala ya kuwapeleka mahali sahihi, I can see character assassination and kuchafuana kisiasa, miaka yote hiyo ndio binti aibuke leo? it seems mpambe wake demanded more money from kapuya, na alikuwa anamtumia binti kama kitega uchumi, kuachwa huwa kupo