CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Jamaa alicheza mechi ya kirafiki na Malawi akatoa assist moja, akangushwa na kusababisha foul iliyozaa goal, tukawapiga malawi goal 2 ikasaidia kidoogo kupanda ranks za Fifa
Jamaa kacheza huko ngara kacheza Geita Gold, Mbeya City akiwa kama Mtanzania baada ya kufika simba anaambiwa siyo Mtanzania
Hivi hata kama ile gemu na Malawi ilikuwa ya kirafiki ina maana Fifa hawawezi iadhibu hii nchi? inaruhusiwa labda kwa mfano kwenda kuchukua wachezaji wa brazil wakachezea taifa stars kwenye mechi ya kirafiki iliyo kwenye kalenda ya FIFA?
Sina hakika ila nahisi kuna namna itabidi tupate adhabu