klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Sijibu hadi urudi.
Naunga mkono hoja.
"Yes I did, but she/he meant nothing to me" - haya maneno nimeyasikia sana kwenye soup operas na movies za kidhungu, yakitoka kwa wanawake na wanaume kuwaambia wapenzi wao na mara nyingi au zote huaminiana na yakaishia hapo. Huku uswahili "confessions" kama hizo hazifanyiki kwani salama salama kinachofuatia ni talaka kama sio kisago kwanza. Swali langu ni hili, je mpenzi wako akikuambia hivyo, utachukua uamuzi gani? Utasamehe na kuzingatia "penzi lenu la dhati" au utasapa lapa?Vishawishi vipo siku zoote...Tofauti ni jinsi gani hivo vishawishi vinaathiri....
Penzi la dhati
Hapa mtu anaweza awe na vishawishi na vikamshawishi hasa lakini visiyumbishe lile penzi la dhati hata kwa chembe... Yaani anaweza mtu akatoka hapo na akalala na mtu mwingine akamaliza hamu ila bado pendo na penzi lake lipo kwa yule warohoni kwake. :eyebrows: Hii ni maarufu saana kwa wanaume...
Kwa wanawake wengi wenye penzi la dhati ni vigumu mno kushawishika na temptations za nje else kuna issue anataka kusolve via hivo vishawishi na hicho/hivo vitu ni vya msingi.Pamoja Saana.
Swahiba wewe tena? Umesahau tuliapa kushirikiana kwa dhiki na faraja?usingeunga ningeomba ban.
"Yes I did, but she/he meant nothing to me"
Swahiba wewe tena? Umesahau tuliapa kushirikiana kwa dhiki na faraja?
Afu klorokwini muongo sana amesema yuko chit chat nimemfuata wala hayupo, kumbe hajaacha utapeli eeh? Yan sijui wampendea nini swahiba jamani!
Natamani kuongea kitu hapa ila nashindwa nabaki nimejikunyata
ongea jamani. Ai wewee..
ongea jamani. Ai wewee..
"Yes I did, but she/he meant nothing to me" - haya maneno nimeyasikia sana kwenye soup operas na movies za kidhungu, yakitoka kwa wanawake na wanaume kuwaambia wapenzi wao na mara nyingi au zote huaminiana na yakaishia hapo. Huku uswahili "confessions" kama hizo hazifanyiki kwani salama salama kinachofuatia ni talaka kama sio kisago kwanza. Swali langu ni hili, je mpenzi wako akikuambia hivyo, utachukua uamuzi gani? Utasamehe na kuzingatia "penzi lenu la dhati" au utasapa lapa?
Hiyo ya pili nyekundu nimepitwa kidogo. Ni vishawishi gani anavyoweza kuvitumia mwanamke kwa sababu anataka kusolve via hivo vishawishi na hicho/hivo vitu ni vya msingi?