klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
- Thread starter
-
- #41
Dah BJ nikajuwa ushapata zali Ashley Young kakuchukua jumla, umepotea pia bana sio pekeangu.Vishawishi havikosekani, swala ni jinsi ya kupambana na vishawishi.
Klowo pole kwa kuibiwa Seiko..du! inabidi ujipange kununua saa nyingine, nunua Rolex..! Afu umepoteaaa!
Asante mkuu ila nifafanulie kidogo.Kwa nini temptation zisiwepo? zipo sana tu mkuu,
Ila uwezo wako wa kuzishinda ndio litaonesha kua penzi ni la dhati.
Not only kuzishinda mwenyewe ila kumuhusisha pia mwenzio
whether she knows it or not, katika mpango mzima wa kushinda temptation
Asante sana Mkuu. Bado ningependa kujua msimamo wako kuhusu hili: Yes I did, but she/he meant nothing to me" -je mpenzi wako akikuambia hivyo, utachukua uamuzi gani?Ubarikiwe sana kwa ufafanuzi, well said
Kwa nini temptation zisiwepo? zipo sana tu mkuu,
Ila uwezo wako wa kuzishinda ndio litaonesha kua penzi ni la dhati.
Not only kuzishinda mwenyewe ila kumuhusisha pia mwenzio
whether she knows it or not, katika mpango mzima wa kushinda temptation
Mkuu kuna kitu najifunza sana kupitia hizi post zako, endelea kumwaga raziPengine ninaweza kuwa tafauti na hiyo nyekundu. Kwangu mimi penzi la dhati ni lile linaloambatana na "loyalty" zaidi kuliko "honesty". Inapobidi, kwa kutumia vigezo vya penzi la dhati, ninaweza kusamehe mtu "unfaithful" kuliko "disloyal".
heheheeh Dah! Fellow tablet imekula kwakeone night stand akiwa kwenye ulevi havisumbui
nitaona haikuwa intensional
lakini ile anamsotea mtu mwaka
afu aseme kishawishi simwelewi
nampiga na mwiko tu
Jibu fupi lakini limebeba ujumbe mzito sana. Nataka kuuliza zaidi lakini inabidi nijipange kidogo.mazingira hatuyapi nafasi kwasababu mara nyingi aliyetenda kosa anakuwa alishaacreate mazingira ya hilo kosa kutokea. Lawama zote lazma ziende kwake.
Hata mimi ninajifunza kila mara nikiangalia signature yako "....life (is) a joke". Ikiwa utachukulia kila kitu too serious, utaishia kufa kwa presha au ikiwa utapona utabakia kuwa mpweke daima.Mkuu kuna kitu najifunza sana kupitia hizi post zako, endelea kumwaga razi
Kwanza Mrs Kaizer kabla kwenda kwenye mada napenda kukujulisha kwamba wewe hata ukipotea tena mwaka mzima usihofu kuhusu mwali kabisaaa, yuko salama na mlinzi niko makini sana na nashkuru imani alonipa Mungu, yaani akienda bafuni basi mi nafumba macho yote, kwavile nimelinda vizuri mwali naomba na husninyo mnikabizi nimlinde manake nimegundua bishanga anamnyemelea.
Bek to topik: Yaani Ashadii wewe ndio umenielewa hasa na nimekupata 100% na hii thread ni ya kwangu lakini nataka kujifunza sth so acha nikusanye maujuzi kutoka kwa wengine.
Nilikumiss pia, mpaka nikajishtukizia waifu wa bosi apa kazini namuita Ashadii
Dah! mkuu unajua hapa mimi ni mwanafunzi na nisingependa kuonesha niko wapi ili niichote elimu ya pande zote mbili.Asante sana Mkuu. Bado ningependa kujua msimamo wako kuhusu hili: Yes I did, but she/he meant nothing to me" -je mpenzi wako akikuambia hivyo, utachukua uamuzi gani?
weee, husy huwajui wanamme?
Akisafiri 2weeks umeliwa
usiongelee kaenda kozi miezi 6 hadi mwaka
anaoa kabisa
vinginevyo atarudi ina kutu
si unajua kutu haina dawa ikishatokea??
Sasa hiki ni kisingizio halali kabisa.
heheh hapo red apo. Will u marry me?Klorokwin
We have a choice ..
Kila kitu tunachokifanya dunia hii ni uchaguzi wetu ..(ukiacha vitu kama ubakaji )..
Temptation. Ziko kila kona, huyu jamaa Ana six pack wangu Ana kitambi sijui Ana BM wangu bado anasukuma baiskeli ya 1947..
If you maneged to go beyond physical appearance, or things that pulled you away from your love then your the winner ..
Dammn
nakufuta chitchat hapa unawaza sana ..staki
Leo siku ya saba mapumziko ..lol
Jibu fupi lakini limebeba ujumbe mzito sana. Nataka kuuliza zaidi lakini inabidi nijipange kidogo.
Labda suala la haraka haraka, unakusudia kusema ili kulidhibiti penzi la dhati inabidi ujiepushe na baadhi ya mazingira? hebu nipe mfano wa mazingira ambayo tujiepushe ili kulilinda penzi la dhati lisishawishike.
Lakini jeee wewe unaweza ukatathmini mazingira kabla ya kumhukumu mwenza wako?
On the other hand Flirt halafu ukaweza kujicontrol after flirt haiwezi kweli kukujengea strength. Kuna mtu hapa aliwahi kuandika flirt inasaidia ukirudi kwa mwenza wako uwe much romantic sjui alikuwa right or wrong? Mie sijuuuuuimazingira yote ambayo yatahatarisha penzi na mfano mzuri ni kuflirt.
najua wanaume washxyz... Kila wanapoenda lazma watafte vipoozeo. Kazi ipo.
Tunaelekea ubungo kipipi, hehehehe get on boardhahahah.....loyaaaa!!! Wewe nimeshakujua unapoelekea....ngoja tu niuchune!
Dah! Tupo waaminifu bado bana japo hapa darisalama hatufiki hata 17najua wanaume washxyz... Kila wanapoenda lazma watafte vipoozeo. Kazi ipo.
On the other hand Flirt halafu ukaweza kujicontrol after flirt haiwezi kweli kukujengea strength. Kuna mtu hapa aliwahi kuandika flirt inasaidia ukirudi kwa mwenza wako uwe much romantic sjui alikuwa right or wrong? Mie sijuuuuui