Suala la Kizushi

dah, it depends kloro. Mi nikiflirt huwa najenga hofu if my man is doing the same. Lol.



Lol..... Dah nimekupata greti thinka la mpwapwa. Halaf sjui nani yule kuna siku alisema kule JF dokta kuflirt ni afya. Wizi mtupu.
 
dah, it depends kloro. 1. Mi nikiflirt huwa 2.najenga hofu if my man is doing the same.
Lol.
Unaposema hivyo kwenye red1, wewe unaflirt (au ulikusudia kusema "ninaogopa kuflirt kwa hofu if my man is doing the same"?
Ikiwa unaflirt na haifiki popote zaidi ya kuflirt, kwa nini una hofu kuwa your man might be going beyond flirting?
 
Unaposema hivyo kwenye red1, wewe unaflirt (au ulikusudia kusema "ninaogopa kuflirt kwa hofu if my man is doing the same"?
Ikiwa unaflirt na haifiki popote zaidi ya kuflirt, kwa nini una hofu kuwa your man might be going beyond flirting?

naflirt sana na naweza kujicontrol hofu ni kwa upande wake, na yeye anaweza kujicontrol!
 
hahaha! Wizi kabisa. Lol,
Hawa madokta wa JF samtaimu X-ray wanaiita microscope, balaa tupu. Huyo Dr Riwa wenyewe na vyeti vyake kuna siku walimgeuzia kibao wakamwambia mgonjwa. JF bana.
 

wow wow wow! Ningekuwa na Ashley, JF ningekuwa historia..kuku kwa mrija urayaa, ha ha..majukumu Kloro ozawaize nimerejea sasa!
Huo mtaa unaoka mzuri yani saa zaibwa zaidi kuliko waifu, so naona roho yako tulii..

Mada: Kwanza inategemea kosa gani kanitenda hata kama ana mapenzi ya dhati, kuna vingine mimi sisamehi/siwezi vumilia endelea na mtu..halafu hata kama kosa linasameheka siwezi kuruhusu au kutengeneza mazingira ya vishawishi, hii itakuwa kama kulipizia..unless nimsingizie shetani kuwa kanipitia...he he
Bwana mapenzi magumu asikwambie mtu...!
 
naflirt sana na naweza kujicontrol hofu ni kwa upande wake, na yeye anaweza kujicontrol!
That's nice! Wewe mwamini tu "taking into account that none is guilty unless it's proved otherwise"
 
BJ thanx aisee, point yako iko very clear na ubarikiwe sana. Halaf hilo zali la ashley likiclick usinisahau bana mimi ndo niloanzisha maombi.
 
Asante mkuu ila nifafanulie kidogo.
Unakusudia kusema mwenye penzi la dhati hawezi kuanguka kwenye kishawishi?
mkuu mwenye penzi la dhati atapigana na vishawishi
vikimshinda atamuhususha mwenzie katika mapambano.
Mfano: kuna watu, kila akimtamani mtu nje ya ndoa
anachukua sim na kumpigia mke wake kumwambia anampenda
that alone ni kumuhusisha mwenzio, whether she knows it or not
sio lazima umwambie kua umeshawishika tayari.
It also happens kua mtu anae penda kwa dhati aanguke
but atakapo kueleza how
he tried and tried and tried and tried before he fell
ndio utajua kama penzi lilikua la dhati or not.
 

Mkuu nimekupata vizuri sana na hapo red nimejifunza point nyengine. Labda suala dogo la mwisho hapo red, utakapombaini au atakapojisalimisha na hilo kosa utamuhukumu kwa atakavyojieleza au kwa unavyomuelewa wewe kikawaida?
 
Reactions: Taz
Mkuu nimekupata vizuri sana na hapo red nimejifunza point nyengine. Labda suala dogo la mwisho hapo red, utakapombaini au atakapojisalimisha na hilo kosa utamuhukumu kwa atakavyojieleza au kwa unavyomuelewa wewe kikawaida?
Of course akianza kujieleza lazima atakua biased
ataongeza matatizo na kuonesha kua alishindwa kabisa kuresist
ndio maana nitatumia what I know about my partner, ma mazingira yenyewe?
Pia nitajiuliza: je alijaribu kupata nguvu ya kupambana toka kwangu?
Au alinisahau kabisa, na hakukumbuka kua we could overcome together?
 
Dah! aisee hii post yako ni platinum kabisa. Pamoja sana kamanda umekwenda deep sana kwenye hii post yako na nimeikubali sana, acha niupdate hili file langu.
One love jibaba
 
Reactions: Taz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…