Hata kazi nyingine za serikali kipindi cha Magu ilikuwa lazima mtu apitie jkt huo ni ubaguzi hivi competency ya mtu inapimwaje na kuwa judged eti mtu kuwa na cheti Cha jkt pekee na kuacha wenye degree. Serikali iache huu ubaguziIn fact ni ubaguzi. Kuna wengine kwa sababu za hali zao kiafya na kimaumbile (wenye ulemavu kwa mfano) hawawezi kwenda JKT, ina maana hawatapata ajira hizo husika?
Una taarifa na ulichochangia, au umekurupuka?In fact ni ubaguzi. Kuna wengine kwa sababu za hali zao kiafya na kimaumbile (wenye ulemavu kwa mfano) hawawezi kwenda JKT, ina maana hawatapata ajira hizo husika?
Mkuu samahani mimi naona kuna 'Kupunguza' na 'kubagua' hivi ni vitu viwili tofauti kabisa. Huu utaratibu ni kubagua sio kupunguza, yaani tokea mwanzo mtu hawamuitaji kivipi watakuwa wamempunguza?.Hamuwezi kuajiriwa wote, lazima waangalie vigezo fulanifulani ili kuwapunguza wengine. Hicho ni mojawapo tu.
Wameandika ktk documents zao za ajira, hadi wenye vyeti vya udereva basic, fundi wa veta hizo sio degree wqlq masters, nk hivyo na wenyewe wameangaliwa muhimu ni jktHicho kigezo Cha jkt ni Cha kufutwa na uonevu mtupu hafu pia Kuna watu walioanzia certificate mpaka bachelor kwahyo wakose nafasi kisa jkt, na vigezo vingine wanavyo plus uzoefu na ubunifu wa kazi?..
Hivi ni vigezo, kila ajira ina vigezo, itakuwa tuna baguliwa kama Mimi niliesoma architect kutaka kufanya kazi ya uhasibu au udaktari??Mkuu samahani mimi naona kuna 'Kupunguza' na 'kubagua' hivi ni vitu viwili tofauti kabisa. Huu utaratibu ni kubagua sio kupunguza, yaani tokea mwanzo mtu hawamuitaji kivipi watakuwa wamempunguza?.
JKT wanaenda hata ambao hawajachaguliwa na wote hupokelewa.Mkuu samahani mimi naona kuna 'Kupunguza' na 'kubagua' hivi ni vitu viwili tofauti kabisa. Huu utaratibu ni kubagua sio kupunguza, yaani tokea mwanzo mtu hawamuitaji kivipi watakuwa wamempunguza?.
Acha tu yaani tuna watu hawana uwezo wa kufikili kabisa Na ni viongoziIn fact ni ubaguzi. Kuna wengine kwa sababu za hali zao kiafya na kimaumbile (wenye ulemavu kwa mfano) hawawezi kwenda JKT, ina maana hawatapata ajira hizo husika?
Hii ni mpya ndio naisikia leo ina maana yale yote JKT hutangaza huwa hayana maana basi si wangesema tu wote waliomaliza kidato Cha sita wakaripoti JKT kutangaza lengo lake huwa Nini Kama Kuna wengine hunyemelea gizani kwenda kujiunga bila kupangiwa Wala kuitwa?JKT wanaenda hata ambao hawajachaguliwa na wote hupokelewa.
Kutokwenda JKT kwa sababu yoyote ile ni uamuzi binafsi na mhusika anawajibika moja kwa moja.
Hawabaguliwi kwa kuwa hawana vigezo vinavyohitajika, kimojawapo ni kutoshiriki mafunzo ya JKT.
Kama hukujua now you know.Hii ni mpya ndio naisikia leo ina maana yale yote JKT hutangaza huwa hayana maana basi si wangesema tu wote waliomaliza kidato Cha sita wakaripoti JKT kutangaza lengo lake huwa Nini Kama Kuna wengine hunyemelea gizani kwenda kujiunga bila kupangiwa Wala kuitwa?
Hujaona jina lako kwenye orodha ya wanaotakiwa kwenda JKT na unahisi unatamani kwenda we nenda karipoti kambi yeyote uone kama hawatakupokea. Pale utapigwa biti la maana getini na kichurachura cha hapa na pale halafu unapokelewa.Hii ni mpya ndio naisikia leo ina maana yale yote JKT hutangaza huwa hayana maana basi si wangesema tu wote waliomaliza kidato Cha sita wakaripoti JKT kutangaza lengo lake huwa Nini Kama Kuna wengine hunyemelea gizani kwenda kujiunga bila kupangiwa Wala kuitwa?