Suala la kudanganya umri lingeletwa kwenye VPL wachezaji wengi tungewastaafisha???

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,231
Kna watu walianza soka sawa na kina Buffon ila hadi Leo wanajulikana wna miaka25,kweli??
Unakuta kimtu kimokamaa kinacheza copa coca cola eti madai watu wa kusini wafupi.
Mibabu imejaa kwenye soka la Tanzania kuogopa kuambiwa imeisha madai yao "age s just a number"..
Kwanini udanganye umri uwanyime wenzio nafasi??!
 
Ni watu kuendekeza tamaa..wamesahau umri haurudi nyuma
 
Mtu kaanza kucheza mpira wa kuonekana ana miaka ishirini na kacheza muongo mmoja na nusu eti ndo kafikisha 25 mwaka huu
 
Hasa pale jangwani! Zulu,kamsoko,Tambwe,Kanavaro, Niyonzima na Bossue wote mababu.
 
Sio vpl ni tatizo la africa nzima tusilaumu tu vpl tulaumu mifumo ya Africa kwA ujumla nadhani umenipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…