MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
Suala hili la kujiuzulu haswa katika nyadhifa za utawala ndani ya sirikale ya CCM. Hili limekuwa ni mwiba mkali sana kwao maana kila linapotkea jambo lisilokuwa na mashiko na ikatokea shinikizo dhidi ya mhusika kutakiwa kujiuzulu linakuwa ni jambo zito mno haswa kwa viongozi wa sirikale.
Mfano halisi ni pale Ndugai alipotakiwa kujiuzulu ilichukuwa muda na hatimae baada ya shinikizo kutoka juu kule juu mnakokuita wenyewe ndio utamuona mwenye kutakiwa kujiuzulu ndio atatoka mbio kukurupuka na kutoa waraka wa kujiuzulu.
Ukitizama kwa ndani zaidi unagundua hakujiuzulu yeye kama yeye bali ni baada ya shinikizo kutoka juu. huu sii uungwana hatta kidogo.
Tujifunze kuchukua hatua kutoka kwa wenzetu huku wanavyoona kuwa wamekosea basi hawapotezi muda sana na hatimae wanachukua hatua maramoja bila kushinikizwa.
www.dw.com

Upinzani Tanzania wakosoa utaratibu wa kujiuzulu kwa Ndugai – DW – 07.01.2022
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimepinga na kukosoa vikali njia aliyoitumia Job Ndugai kujiuzulu katika nafasi yake,huku baadhi vikisema katiba imekiukwa.