Suala la kuoa kwa kuangalia tabia na sio uzuri ni kuidhulumu nafsi

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Ukutaka kuoa oa mwanamke mzuri anaekuvutia, tabia zinabadilika ila ukishaoa sura personal ndo basi tena.

Ukiona mwanamke mzuri anaevutia a.k.a pisi kali
1. Hutatumia gharama kumpendezesha
unachagua tabia unaingia gharama za makeup na mavazi ili tu kumtangeneza aonekane mrembo, wakati wengine wapenzi wetu wakivaa hata dela tu kamaliza, macho yote kwakwe.

2. Kukuzalia watoto wazuri
Pia kuoa mwanamke mrembo kuna probability kubwa ya kupata watoto wazuri, ma beuty na ma handsome.

3. Atakua anakuvia sexual
4. Utakua unajivunia na kupata heshima kwa wana
5. kua sura personal haimaanishi hutachapiwa

Usiidhurumu nafsi kuoa kwa kigezo cha tabia, tabia ni mind set tu. ata huyo unaedhan sasa anatabia nzuri, kesho anaweza badilika akajakua na tabia za ajabu sana. after all hata mtu awe na tabia nzuri kiasi gani, kama kukukera atakukera tu.

chakua mtoto natural beauty, chagua kile moyo unapenda. Achana na kigezo cha tabia, oa mtoto mzuri tabia mtarekebishana uko mbele
 
unaoa huyo beautiful onyinye uringishie wana kumbe ukiingia ndani ya nyumba ni vyuma tu, full kuumia na kulia kwa visanga ujue vizuri vinagharama eh? wewe simamia unachoamini as long as sio sheria ni vile venye nafsi yako itataka
 
Kumbuka wote wanamiliki K, hivyo matumizi ya mazuri ya K nako uchangia kuvutia hadi ukasahau sura.
Note: mimi ni muumini wa umbo na tabia nzuri kwa pamoja.
 
After marriage, your life is in the hands of the woman you marry. If you marry a wrong woman you will have a life full of suffering, pain and regrets.

The woman you marry has so much impact on how beautiful or ugly the rest of your life will be. You will think this is a joke now, until you enter marriage.

Am not saying all beatfull women got bad behaviors what am saying is that, when you want to marry take your time and pick a good woman, who is kind, submissive, hardworking and empathic.

Don't focus on beauty and chura alone, it's not enough criteria for marriage.

Take your time and vet properly.
 
madini hayaa
 
Ukutaka kuoa oa mwanamke mzuri anaekuvutia, tabia zinabadilika ila ukishaoa sura personal ndo basi tena.

Ukiona mwanamke mzuri anaevutia a.k.a pisi kali
1. Hutatumia gharama kumpendezesha
unachagua tabia unaingia gharama za makeup na mavazi ili tu kumtangeneza aonekane mrembo, wakati wengine wapenzi wetu wakivaa hata dela tu kamaliza, macho yote kwakwe.

2. Kukuzalia watoto wazuri
Pia kuoa mwanamke mrembo kuna probability kubwa ya kupata watoto wazuri, ma beuty na ma handsome.

3. Atakua anakuvia sexual
4. Utakua unajivunia na kupata heshima kwa wana
5. kua sura personal haimaanishi hutachapiwa

Usiidhurumu nafsi kuoa kwa kigezo cha tabia, tabia ni mind set tu. ata huyo unaedhan sasa anatabia nzuri, kesho anaweza badilika akajakua na tabia za ajabu sana. after all hata mtu awe na tabia nzuri kiasi gani, kama kukukera atakukera tu.

chakua mtoto natural beauty, chagua kile moyo unapenda. Achana na kigezo cha tabia, oa mtoto mzuri tabia mtarekebishana uko mbele
Aiseee
 
Back
Top Bottom