haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Ukutaka kuoa oa mwanamke mzuri anaekuvutia, tabia zinabadilika ila ukishaoa sura personal ndo basi tena.
Ukiona mwanamke mzuri anaevutia a.k.a pisi kali
1. Hutatumia gharama kumpendezesha
unachagua tabia unaingia gharama za makeup na mavazi ili tu kumtangeneza aonekane mrembo, wakati wengine wapenzi wetu wakivaa hata dela tu kamaliza, macho yote kwakwe.
2. Kukuzalia watoto wazuri
Pia kuoa mwanamke mrembo kuna probability kubwa ya kupata watoto wazuri, ma beuty na ma handsome.
3. Atakua anakuvia sexual
4. Utakua unajivunia na kupata heshima kwa wana
5. kua sura personal haimaanishi hutachapiwa
Usiidhurumu nafsi kuoa kwa kigezo cha tabia, tabia ni mind set tu. ata huyo unaedhan sasa anatabia nzuri, kesho anaweza badilika akajakua na tabia za ajabu sana. after all hata mtu awe na tabia nzuri kiasi gani, kama kukukera atakukera tu.
chakua mtoto natural beauty, chagua kile moyo unapenda. Achana na kigezo cha tabia, oa mtoto mzuri tabia mtarekebishana uko mbele