suala la kuvaliana nguo je ni halali??

suala la kuvaliana nguo je ni halali??

nkwaru

Senior Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
126
Reaction score
42
Hii tabia ya kuvaliana nguo KWA watu ambao si wana ndoa imekaaje? make mi naona si ustaarabu, achilia mbali uchoyo.
nakaribisha mawazo.
 
Imeandikwa wapi kuvaa nguo ya mwenzako ni haramu??
 
Wanaita kugongea! Mie binafsi sipendi kuvaliana!
 
Back
Top Bottom