Suala la Mashoga lamponza Dudubaya. Apandishwa kizimbani kwa makosa ya kimtandao na kutoa lugha za matusi dhidi ya jamhuri na Kusaga

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Dudu baya kizimbani kwa kutoa lugha chafu.
-
Mwanamuziki wa Bongofreva, Godfrey Tumaini maarufu 'Dudu baya' amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam akikabiliwa na shtaka la lugha chafu mtandaoni.

Dudu baya (41) Mkazi wa Mbezi amepandishwa kizimbani jana na kusomewa hati ya Mashitaka na Wakili wa Serikali, Hilda Katto mbele ya Hakimu Mkazi, Ester Mwakalinga.

Wakili Katto amedai kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Agosti 11, mwaka 2020 akiwa nchini Tanzania.

Aliendelea kudai, mshtakiwa Dudu baya aliandika lugha ya matusi kwa Joseph Kusaga katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kuisambaza, ambapo aliandika kuwa "mbabewavita......,msemakweli.....,mfungwahuru.....,wafanyakazi wake pale wasafi Ni mustaph(hr)na Nelly(program maneger)na leseni ya wasafi media imesajiliwa na Zanzibar anapotokea mke wake ....waulize TCRA kama nasema uongo...., Joseph anatumikishwa kuzalisha mashoga Tanzania.

Mshtakiwa alikana kutenda kosa hilo, kwa upande wa Jamhuri wakili amedai upelelezi umekamilika na kuiomba mahakama kupanga tarehe kwa ajili ya kusikilizwa.

Dudu baya yuko nje kwa dhamana hadi Januari 28, kesi hiyo itakapotajwa tena.

#MtanzaniaDigital
 
hivi kama akiweza akdhibitisha kweli hayo alosema mambo yatakuaje?? maana ushoga kwetu ni marufuku
 
Dudu baya kizimbani kwa kutoa lugha chafu
-
Mwanamuziki wa Bongofreva, Godfrey Tumaini maarufu 'Dudu baya' amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam akikabiliwa na shtaka la lugha chafu mtandaoni.

Dudu baya (41) Mkazi wa Mbezi amepandishwa kizimbani jana na kusomewa hati ya Mashitaka na Wakili wa Serikali, Hilda Katto mbele ya Hakimu Mkazi, Ester Mwakalinga.

Wakili Katto amedai kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Agosti 11, mwaka 2020 akiwa nchini Tanzania .

Aliendelea kudai, mshtakiwa Dudu baya aliandika lugha ya matusi kwa Joseph Kusaga katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kuisambaza, ambapo aliandika kuwa "mbabewavita......,msemakweli.....,mfungwahuru.....,wafanyakazi wake pale wasafi Ni mustaph(hr)na Nelly(program maneger)na leseni ya wasafi media imesajiliwa na Zanzibar anapotokea mke wake ....waulize TCRA kama nasema uongo...., Joseph anatumikishwa kuzalisha mashoga Tanzania.

Mshtakiwa alikana kutenda kosa hilo, kwa upande wa Jamhuri wakili amedai upelelezi umekamilika na kuiomba mahakama kupanga tarehe kwa ajili ya kusikilizwa.

Dudu baya yuko nje kwa dhamana hadi Januari 28, kesi hiyo itakapotajwa tena.
#MtanzaniaDigital

Asante kwa taarifa nadhani sredi za kumuulizia alikuwa wapi zitakwisha.
 
Mwenye picha ya huyo dudu baya jamani
Sisi tulioko chita huku hatumjui
 
Dudu baya kizimbani kwa kutoa lugha chafu
-
Mwanamuziki wa Bongofreva, Godfrey Tumaini maarufu 'Dudu baya' amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam akikabiliwa na shtaka la lugha chafu mtandaoni.

Dudu baya (41) Mkazi wa Mbezi amepandishwa kizimbani jana na kusomewa hati ya Mashitaka na Wakili wa Serikali, Hilda Katto mbele ya Hakimu Mkazi, Ester Mwakalinga.

Wakili Katto amedai kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Agosti 11, mwaka 2020 akiwa nchini Tanzania .

Aliendelea kudai, mshtakiwa Dudu baya aliandika lugha ya matusi kwa Joseph Kusaga katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kuisambaza, ambapo aliandika kuwa "mbabewavita......,msemakweli.....,mfungwahuru.....,wafanyakazi wake pale wasafi Ni mustaph(hr)na Nelly(program maneger)na leseni ya wasafi media imesajiliwa na Zanzibar anapotokea mke wake ....waulize TCRA kama nasema uongo...., Joseph anatumikishwa kuzalisha mashoga Tanzania.

Mshtakiwa alikana kutenda kosa hilo, kwa upande wa Jamhuri wakili amedai upelelezi umekamilika na kuiomba mahakama kupanga tarehe kwa ajili ya kusikilizwa.

Dudu baya yuko nje kwa dhamana hadi Januari 28, kesi hiyo itakapotajwa tena.
#MtanzaniaDigital
konki konki konki
 
Ku-prove ni yeye aliandika ni changamoto mzee

Account tu sio issue,ila ishu ni kusema kwa uhakika beyond reasonable doubt kwamba ni yeye kweli owner wa hiyo account...

Thats a toll order
Hii ni bongo atashindwa mapema.

Kwani wale wanaokamatwa kwa kuandika raisi wa nchi flani ni dictator huwa wanaprove vipi
 
Ku-prove ni yeye aliandika ni changamoto mzee

Account tu sio issue,ila ishu ni kusema kwa uhakika beyond reasonable doubt kwamba ni yeye kweli owner wa hiyo account...

Thats a toll order
Mbali na hilo suala la kuwa huyo Joseph aliyetajwa anamaanisha Kusaga nayo ni issue ngumu kuthibitisha....kuna Joseph wengi...it could be any Joseph out there.
 
Kwahiyo mahakamani aliitwa kwa jina la Dudubaya?

Kwenye hati ya mashtaka itakuwa imeandikwa "Godfrey Tumaini@Dudu Baya".

Mfano, "Elizabeth Michael Kimemeta@Lulu

Kama mtu ana aka huanza jina halisi then aka.

Mfano, Mary John@Mama Neema.

Lile jina maarufu huwekwa Kama aka
 
Tena huyu mtu ikibainika ni yeye ndiye alieandika hivyo ktk acc ya jina lake, basi aeleze vizuri na atoe uthibitidho wa kile anachodai, akishindwa akatupwe jela huko, ili iwe funzo kwa watu wanaojifanya wao wanajua sana maisha binafsi ya watu.

Na wa Tz walivyo wanafiki leo hii watamkana, ila wakati anatoa Yale maneno walikua wanamshangilia na kumpa ushujaa wa kuumbua siri za watu,

Sheria ifate mkondo wake na haki ipatikane.
 
Back
Top Bottom