Suala la Mashoga lamponza Dudubaya. Apandishwa kizimbani kwa makosa ya kimtandao na kutoa lugha za matusi dhidi ya jamhuri na Kusaga

Anafurahi mtuhumiwa na kesi yake. Tena lazima atoe uthibitisho vinginevyo akaozee jela, iwe funzo kwa wengine.
Mlalamikaji Joseph ndiye anaueyakiwa kudhibitisha kuwa katwajwa
Je kwenye hao walalamikaji Joseph Ni yupi?
Joseph #joseph kusaga
Ikiwa Joseph =Joseph warioba
Kisheria hiyo tayari chenga
Ingawa dudu aache ujinga wa kuwadhalilisha watu
 
Inategemea Prosecution Side wamechangamka kiasi gani. Ila yote yanaweza kutokea kushinda/kushindwa.
 
Mlalamikaji Joseph ndiye anaueyakiwa kudhibitisha kuwa katwajwa
Je kwenye hao walalamikaji Joseph Ni yupi?
Joseph #joseph kusaga
Ikiwa Joseph =Joseph warioba
Kisheria hiyo tayari chenga
Ingawa dudu aache ujinga wa kuwadhalilisha watu
Sio rahisi km unavyodhani, hukumbuki zile video za kutaka kutaja list kwa makonda? Au umesahau anamzungumzia Joseph wa clouds, ili hali hakutaja kusaga? Au clouds kuna Joseph wangapi?
 
Kisheria Joseph kusaga sio sawa na Joseph was clouds. Hayo Ni majina mawili tofauti watu wawili tofauti.
Hapo Joseph kusaga ambaye anashtaki anatakiwa athibishe kuwa yeye ndiye Joseph mtajwa kitu ambayo Ni ngumu

Unakumbuka kesi za lisu kumkashifu rais? Issue Ni rais yupi wakati hata UDSM, TFF Kuna rais
The same kwenye hii drama Ila again dudubaya aache ujinga wa kuwadhalilisha watu
 
Yule Mzee eti ana miaka 41.. sisi tunaomjua tunajua yupo 46+
 
Mahakamani asubuhi tu anatusua

Ova
 
Ame insinuate kuwa huyo Joseph mtajwa ana hisa Waasafi Media Group kupitia mke wake ambaye ni Mzanzibari.

Sasa Clouds Media kuna Joseph mmoja tu mwenye mke kutoka Znz ambaye kweli anamiliki hisa Wasafi Media.
 
Hakuna kesi hapo, Dudu ajatumia tusi lolote.

Kwani wewe nikisema unafuga mashoga unatafsiri vipi?
Acha kujitoa ufahamu. Shoga ni ms.enge. Hakuna tafsiri tata hapo. Na kujihusisha na usenge au wasenge ni kashfa kubwa sana.
 
Acha kujitoa ufahamu. Shoga ni ms.enge. Hakuna tafsiri tata hapo. Na kujihusisha na usenge au wasenge ni kashfa kubwa sana.
Hata maana ya neno SHOGA hujui, muwage kimya km kitu hamkijui, sio lazima kusema kwa kitu ambacho hukijui.
 
Hakuna kesi hapo, Dudu ajatumia tusi lolote.

Kwani wewe nikisema unafuga mashoga unatafsiri vipi?
Makanjanja mna shida sana!

Mwenyewe umekaa hapo na katekno chako masikini unajitia mchambuzi wa sheria!!

Wajuaji kama ninyi mkitandikwa nyundo mnaanza kuhamaki na kumwaga vilio!

Just chill bro! Usijifanye una maarifa kuliko mahakama!
 
Mlalamikaji Joseph ndiye anaueyakiwa kudhibitisha kuwa katwajwa
Je kwenye hao walalamikaji Joseph Ni yupi?
Joseph #joseph kusaga
Ikiwa Joseph =Joseph warioba
Kisheria hiyo tayari chenga
Ingawa dudu aache ujinga wa kuwadhalilisha watu
Vishoka mnatamba sana kuliko hata mawakili wenye academic qualifications!

Yaani wewe mtu wa mtandaoni unataka kujifanya una akili sana kuliko jopo lote la mawakili wa serikali!?

You think you are so smart!! Atii ohh hakuna kesi hapo!

Unatamba kabisa kama kigogo fulani aliyevimbiwa bia?
 
Hata maana ya neno SHOGA hujui, muwage kimya km kitu hamkijui, sio lazima kusema kwa kitu ambacho hukijui.
Wee mama ni dhahiri weledi wako ni finyu. Unaona Kusaga kwenda mahakamani ni mjinga? Au una advanced degree ya Kiswahili labda hadi ukakamae na maana halisi ya neno “shoga”? Huyu mtuhumiwa ana historia ndefu ya kutoa maneno na tuhuma za ushoga kwa maadui zake haswa wafanyakazi wa Clouds Media. Kwa hiyo yote haya yatazamwe kwa jicho hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…