Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
Utasikia kuwa Rais ajaye hawezi kutoka dini fulani kwa sababu Rais aliye madarakani tayari ni wa dini hiyo.
Rais hawezi kutoka kanda fulani kwa sababu hiyo kanda ilishatoa Rais.
Rais hawezi kuwa kabila fulani kwa sababu kuna sababu nyingi za kutokubaliana na mtazamo huo.
Masuala ya kulazimisha kubadili udini, ukabila, na ukanda hayana tija katika dunia ya leo.
Hata kama marais watano watatoka mkoa mmoja au dini moja, kama ni wachapakazi wanaweza kuwa Rais.
Huu udini, ukabila, na ukanda vinaweza kuigawa nchi hii.