Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
ati baba wa TAIFA alisemaga kwamba rais asiwe MCHAGGA,MHYA au MYAKYUSA!!! nauliza,ni kweli? na kama ni kweli ni kwa nini?utasikia rais ajaye hawez kua din fulan kwa sababu rais aliyemadarakan ndo dini hio
,rais hawez kutoka kanda fulan kwa sababu hio kanda ilishatoa rais.
rais hawez kua kabila fulan kwa sabubu yan blahblah kibao.
maswala ya kuforce ku alternate udini ukabila ukanda hauna tija dunia ya leo.
hata kama marais 5 watatoka mkoa mmoja,dini moja ila ni wachapakazi wanaweza kua rais
huu udin ukabila ukanda utakuja kugawa hili taifa
Pamoja na mambo mazuri aliyooasisi Nyerere kwa hili akiharibu sanautasikia rais ajaye hawez kua din fulan kwa sababu rais aliyemadarakan ndo dini hio
,rais hawez kutoka kanda fulan kwa sababu hio kanda ilishatoa rais.
rais hawez kua kabila fulan kwa sabubu yan blahblah kibao.
maswala ya kuforce ku alternate udini ukabila ukanda hauna tija dunia ya leo.
hata kama marais 5 watatoka mkoa mmoja,dini moja ila ni wachapakazi wanaweza kua rais
huu udin ukabila ukanda utakuja kugawa hili taifa
Hajawahi sema hivyo.ati baba wa TAIFA alisemaga kwamba rais asiwe MCHAGGA,MHYA au MYAKYUSA!!! nauliza,ni kweli? na kama ni kweli ni kwa nini?
Kivipi mkuu? Ila kuna jambo moja Kanisa Katoliki liliwapiga bao makanisa mengine na dini nyingine. Catholic Church, liliwaandaa waumini wao ili waje kuwa wa tawala in this case lilijenga shule na hospitali ili wa some tena elimu mzuri na kutibiwa wakiugua. Wakati makanisa mengine na dini nyingine wameshtuka hivi majuzi. Lakini Sasa hivi karibu makanisa na dini nyingine wame- catch up.Rais lazima awe Mkatoliki