Suala la mkopo wa elimu ya juu

Samuel Mwakalinga

New Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Hivi waugwana ni haki kweli kwamba aliye katika ajira hana haki ya kupata mkopo wa elimu ya juu kwa mshahara wa kima cha chini ikiwa ada ya chuo kwa mwaka inazidi hata mshahara wake wa mwaka mzima na miezi sita bila kuwa na pesa hata ya kutoa copy ya stationaries je! selikali yetu kupitia hiyo bodi ya mikopo wanafikiri nini ili kuwapa fursa ya shule hata hawa wenye ajira kama walimu na maafisa ugani nk ili nao waweze kuongeza elimu kwa manufaa ya Tanzania kukuza wasomi wenye uwezo wa kufanya mambo makubwa zaidi kama utafiti ili kuweza kutoa ajira nzuri kwao lakini pia kwa jamii
SERIKALI HII IWAFIKIE !?
NA WANA JM NIPENI YENU !
 
cjui kigezo kilichotumika nadhani ni kuwaonea ukizingatia waajiri wenyewe hawasaidii gharama za masomo nadhani wanataka watumishi waendelee kuwa mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…