Suala la moto mlima KIlimanjaro

Uko sawa kabisa, watu wanaenda kuzima moto kwa kutumia fimbo na panga, hiyo kazi wangepewa porters na guides shughuli ingekuwa imeisha kitambo, ila hata wageni wanashangaa sana kinapa kukosa nyenzo sahihi za kuzimia moto wakati moto umekuwa ni tatizo kila wakati, Mlima Kilimanjaro ni kati ya milima ghali s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…