Suala la muungano katika rasimu ya katiba mpya

Kichaaa

Member
Joined
Jun 21, 2021
Posts
11
Reaction score
11
Nimejitahidi kupitia kidogo rasimu ya katiba mpya ambayo kila mtanzania mwenye utimamu anatamani ipite.....


Sasa naomba maelezo kidogo wakuu kuhusu suala la muungano je kutakuwa na serikali moja,mbili ama tatu... Jambo hili sijabahatika kuliona katika rasimu yetu au SIJAELEWA naomba mtaalam wa hii rasimu ya mwisho ya katibà mpya atujuze tulio njia panda kama mm

Naombeni msaada wenu WAKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…