Karemboo
Member
- Dec 17, 2023
- 23
- 23
Ndugu zangu hivi swala la Referees mnalichukuliaje? Mimi naliona halijakaa kitaalam kabisa kwa mfano maofisini tunaona unakuta boss wako hataki ugrow hata ukipata safari tu ananuna ( huyu kweli atakurecommend vizuri huyu sehem nyingine tena ajue unaenda kupata maslah zaidi ya hapo?) lakini pia tz unafiki mwingi mtu anakuchekea usoni lakini moyoni ana chuki na wewe hujui unamweka kama referee akipigiwa simu anakuchinjia mbali… nishakutana na kisa cha mtu anasema yeye hakuwaigi kuitwa interview ila siku amebadili referees akaitwa na akapata kazi anyways ya Mungu mengi tuendelee kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo.
Wana JF Tupeane visa vya mareferees na jinsi ya kuchagua referee mzuri
Wana JF Tupeane visa vya mareferees na jinsi ya kuchagua referee mzuri