Suala la sukari ililoagizwa kuziba pengo lililotokea hapa nchini

Suala la sukari ililoagizwa kuziba pengo lililotokea hapa nchini

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Kumekuwa na mtifuano kati ya Mhe. Mpina na Mhe. Waziri wa Kilimo - Bashe kuhusu sukari iliyoagizwa ili kuziba pengo lililotokea katika nchi.

Mengi yamezungumzwa na Watanzania tumesikia mengi. Kama kweli yale maneno aliyoyasema Ndugu Lissu kule Itigi basi Serikali iliyoko madarakani inatakiwa ijitafakari sana na kutuomba radhi sisi Watanzania wote.

Watanzania wanyonge wanalanguliwa na watu wachache kwa kuongeza Tshs. 1,000 kwa kilo?. Inakuwaje kilo moja ya sukari kule nchini Zambia inakuwa bei rahisi kuliko sukari inayouzwa hapa Tanzania ilihali Nchi ya Zambia inatumia Bandari yetu na umbali wa Zambia kutoka Bandari ya Dar.

Nashauri Tume iundwe mara moja ili Watanzania wote wafahamu hatma ya suala hili.

Pia soma
 
Kwa hiyo kila mtu anapoenda nunua sukari kuna mwamba ye amekaa amerilaksi chake kina ingia kwenye kila kilo!!!???
 
Back
Top Bottom