Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hivi karibuni kuibuka mjadala baada ya Kenya kuzuia mahindi kutoka Tanzania kwa sababu yana sumu kuvu inayopelekea vifo vya wakenya
Katika maktaba tumegundua suala la sumu kuvu ambayo huiotea mazao mengi ya nafaka imekuwepo tangu 2016 ambapo katika wilaya za Chemba na Kondoa Wilaya ya Dodoma ambapo watu 65 waliugua na wengine 19 walilipotiwa kufariki baada ya kutumia nafaka zenye sumu hiyo
Baada ya uchunguzi, serikali ilikuja na namna ya kukabiriana na tatizo hilo. Ambapo serikali ilitoa Tsh bilioni 80 kupabana na tatizo hilo mwaka 2020
Mradi ulikuwa ni wa kuelimisha wakulima na wafanyabiashara namna ya kuhifadhi chakula ili vizipate tatizo la sumu kuvu. Mradi wa kudhibiti sumu kuvu ulikuwa wa miaka mitano abapo umekuwa ukitekelezwa katika mikoa kumi ya Tanzania bara na Zanzibar