Suala la Tanzania kuzuia mizigo ya Congo linatunufaishaje?

ukwega

Senior Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
108
Reaction score
11
Suala la Tanzania kuzuia mizigo ya Congo na magari bandarini kwa kudai walipe ushuru kwao ndio watoe magari yao bandarini, linatunufaisha vipi sisi watanzania tofauti na kujaza bandari yetu pia kukimbiza wateja?

Hii imekaaje Watanzania?
 
Wao wajanja sana serikali ipo sahihi. Wakiachiwa kulipa ushuru hapa inamaana watalipa nusu halafu pindi wanapoingiza mzigo Congo wanamalizia nyingine.

Ko Kuna wajanja wakishalipa ushuru hapa nusu hawapeleki mzigo Congo badala yake wanauzia hapa hapa. Ko serikali ya Congo ama Burundi wanakosa mapato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…