Suala la Uchafu Salasala, Wilaya ya Ubungo na Kinondoni. NEMC mpo?

Suala la Uchafu Salasala, Wilaya ya Ubungo na Kinondoni. NEMC mpo?

Janja PORI

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
825
Reaction score
246
Leo asubuhi nimeskia Clouds Media wanazungumzia wakazi wa Salasala, Goba na maeneo yanayopakana na mito kutupa takataka mitoni, hii husababisha msimu wa mvua mito kujaa ama kupeleka takataka baharini, ubaya taka taka hizi ni plastic.

Swali ni kwamba viongozi wa Serikali za mitaa wanakimbia kuhojiwa. Je, viongozi wa hizi wilaya mbili wanashindwa kufanyia kazi hili suala?

Mji wa Dar es Salaam unakua sana, tukishindwa kudhibiti suala dogo kama hili tunakuwa tunaharibu mazingira.
 
Back
Top Bottom