Suala la Umeme: Mother House na Mpangaji kimenuka

Suala la Umeme: Mother House na Mpangaji kimenuka

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
20240504_120022.jpg
 
Kiswahili lugha yangu tamu kama ziwa la mama unakwenda wapi wakati dunia imeanza kukutamani?

1714814106320.png



1714814185578.png
 
"Kijana sijui hunatafuta nini humekaa kwenye hichi chumba. "

Mama atakuwa mkabila gani huyo????
 
Mama mwenye nyumba kabila lake kanda pendwa nini?

'Hu' kazitumia kijinga jinga sana katika kujenga hoja zake.

Inaonekana gharama za matumizi ya umeme kazipandisha juu kwa juu bila ya kumshirikisha mpangaji wake ambaye mwanzoni inaonekana walikubaliana elfu5!

Tatizo hili la kudharau wapangaji wanalo wenye nyumba wengi sana.
 
Amuwekee mita yake,mambo ya dar kushare umeme hapana jameni,kila mtu ajilipie umeme wake.
 
Back
Top Bottom