Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 6,682 Reaction score 11,461 May 4, 2024 #2 Nasimama na kijana unit 13 zinatosha kwa taa.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 May 4, 2024 #3 Kiswahili lugha yangu tamu kama ziwa la mama unakwenda wapi wakati dunia imeanza kukutamani?
CriSanToS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 1,233 Reaction score 3,575 May 4, 2024 #4 "Kijana sijui hunatafuta nini humekaa kwenye hichi chumba. " Mama atakuwa mkabila gani huyo????
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 May 4, 2024 #5 Mjanja M1 said: View attachment 2980452 Click to expand... Mama mwenye nyumba kabila lake kanda pendwa nini? 'Hu' kazitumia kijinga jinga sana katika kujenga hoja zake. Inaonekana gharama za matumizi ya umeme kazipandisha juu kwa juu bila ya kumshirikisha mpangaji wake ambaye mwanzoni inaonekana walikubaliana elfu5! Tatizo hili la kudharau wapangaji wanalo wenye nyumba wengi sana.
Mjanja M1 said: View attachment 2980452 Click to expand... Mama mwenye nyumba kabila lake kanda pendwa nini? 'Hu' kazitumia kijinga jinga sana katika kujenga hoja zake. Inaonekana gharama za matumizi ya umeme kazipandisha juu kwa juu bila ya kumshirikisha mpangaji wake ambaye mwanzoni inaonekana walikubaliana elfu5! Tatizo hili la kudharau wapangaji wanalo wenye nyumba wengi sana.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 May 4, 2024 #6 CriSanToS said: "Kijana sijui hunatafuta nini humekaa kwenye hichi chumba. " Mama atakuwa mkabila gani huyo???? Click to expand... labda mama mwenye nyumba ni muhabeshii
CriSanToS said: "Kijana sijui hunatafuta nini humekaa kwenye hichi chumba. " Mama atakuwa mkabila gani huyo???? Click to expand... labda mama mwenye nyumba ni muhabeshii
P Perth Senior Member Joined Feb 11, 2024 Posts 138 Reaction score 263 May 4, 2024 #7 Amuwekee mita yake,mambo ya dar kushare umeme hapana jameni,kila mtu ajilipie umeme wake.