Suala la Usafi na Uchafu lipo hivi

Suala la Usafi na Uchafu lipo hivi

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Mtu Msafi anapoona Uchafu katika Mwili wake, Gheto au nyumba barabarani nk anapata Hasira na kero katika moyo wake.

Na kwa mtu mchafu Uchafu kwake sio tatizo mfano kwa Mtu msafi hawezi kulala na Malaya au kuingia kwenye magheto ya mademu wa kimboka Mula ndani pachafu pananuka lakini Mtu anazama ndani na kutokomea Kabisa Sad

Binafsi usafi ni Asili ya Mtu. Na Uchafu Ni Asili ya Mtu.

Mtu mchafu ni mchafu tu na Msafi Ni Msafi tu.
 
Back
Top Bottom