KERO Suala la utoaji vyeti vyuo vya kati litazamwe upya

KERO Suala la utoaji vyeti vyuo vya kati litazamwe upya

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
SUALA LA VYETI.

Utaratibu ambao umewekwa na vyuo vya kati na sera zao unatakiwa kuchunguzwa na kufanyiwa maboresho, hasa VETA.

Haiwezekani mtu amalize chuo na matokeo yatoke halafu akae mwaka mzima awe anasuburia cheti. Hivi ndio utaratibu au kanuni?
 
Back
Top Bottom