The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Kuna taarifa nimeona kuwa Kuna askari polisi wamepewa zawadi Nono ya kitita Cha pesa , kwasababu wamekataa kupokea rushwa kutoka Kwa madereva if I'm not mistaken..
Sasa sijajua logic ipo Kwa Hawa maaskari police kupewa hizo pesa kama chachu ya kufanya.
It means inaonekana swala la police kukataa rushwa ni kitu kigumu sana, what I mean ni Kwamba swala la police kupokea rushwa ni kitu Cha kawaida sana, So askari kupewa zawadi maana yake wamefanikiwa kuchomoka kwenye huo mtego wa kupokea rushwa ambapo wengi Huwa hawachomoki kwenye huo mtego.
In fact police wenyewe wanajieleza mbele ya umma kuwa wanapokea rushwa katika maeneo Yao ya kazi
Sioni kama Kuna sababu ya wale police kupewa hizo zawadi maana ni sehem Yao ya kazi, ni sawa police anapo enda LINDO na kutoka LINDO likiwa salama, basi na hao wawe wanapewa zawadi.
Au askari kapambana na jambazi kafanikiwa kumuua au kumkamata anapewa zawadi , Huwa sioni maana yake , wakati hayo ni matokeo akiwa kwenye mazingira yake ya kazi.