Suala la Wamachinga: Leo ni zamu ya Mwenge, SUMA JKT wamefanya usafi na kuondoa meza zote -- sasa panapendeza!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wale mliokuwa mnategemea kununua bidhaa ndogo ndogo kwa wamachinga pale Mwenge mjue leo ndio mwisho eneo lile limesafishwa na hapatakiwi kuonekana mtu yoyote anafanya biashara.

Maendeleo hayana vyama!
 
Machinga wa mbagala ndo hawataki kuelewa kabisa, asubuhi wanafukuzwa jioni wanajisogeza ikifika usiku ndio wamerudi wote kabisa mpaka wanagombania nafasi hapa kwangu
 
Kwanza futa hilo jina WANYONGE maana siyo sifa.
Mkuu, wao walilikubali na kutamba nalo kwenye vipeperushi vyenye picha ya mwenda zake!!

Hukuona??

Acha wanyongwe ili waone umuhimu wa katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na haki yao ya kikatiba ya kupiga kura.
 
Hao wacha wanyonywe hadi watoke damu ya mwisho hakuna wa kuwaonea huruma.
 
Machinga wa mbagala ndo hawataki kuelewa kabisa, asubuhi wanafukuzwa jioni wanajisogeza ikifika usiku ndio wamerudi wote kabisa mpaka wanagombania nafasi hapa kwangu
Ata kariakoo ikifika saa 12 jion wanarudi kama kawaida
 
Wale mliokuwa mnategemea kununua bidhaa ndogo ndogo kwa wamachinga pale Mwenge mjue leo ndio mwisho eneo lile limesafishwa na hapatakiwi kuonekana mtu yoyote anafanya biashara.

Maendeleo hayana vyama!
Juzi wamebomoa mtaani jogoo kuelekea juu viwandani, mwanzo tulifikiri ni along barabara kubwa kumbe zoezi ni mpaka mtaani.
 
Ata kariakoo ikifika saa 12 jion wanarudi kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande mwngine inatia huruma kuona wanafukuzwa wngne ndo mkate wa kila siku unapopatikana but kwa angle nyngne mazingira ya barabara ynakua hyatamaniki kbsa folen zsizo za ulazima imagine mtu biashara hadi anavuka chaki jmni dah kweli riziki inatafutwa kiugumu sana
 
Back
Top Bottom