johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wacha wawape malipo stahiki wanayo stahili baada ya kuichagua CCMWataua watu njaa jamani hebu wawaonee huruma hawa watu
Kwanza futa hilo jina WANYONGE maana siyo sifa.Aliyekuwa makamu wa Rais wa wanyonge hataki masihala na wanyonge!
Mkuu, wao walilikubali na kutamba nalo kwenye vipeperushi vyenye picha ya mwenda zake!!Kwanza futa hilo jina WANYONGE maana siyo sifa.
Hao wacha wanyonywe hadi watoke damu ya mwisho hakuna wa kuwaonea huruma.Mkuu, wao walilikubali na kutamba nalo kwenye vipeperushi vyenye picha ya mwenda zake!!
Hukuona??
Acha wanyongwe ili waone umuhimu wa katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na haki yao ya kikatiba ya kupiga kura.
Ata kariakoo ikifika saa 12 jion wanarudi kama kawaidaMachinga wa mbagala ndo hawataki kuelewa kabisa, asubuhi wanafukuzwa jioni wanajisogeza ikifika usiku ndio wamerudi wote kabisa mpaka wanagombania nafasi hapa kwangu
Juzi wamebomoa mtaani jogoo kuelekea juu viwandani, mwanzo tulifikiri ni along barabara kubwa kumbe zoezi ni mpaka mtaani.Wale mliokuwa mnategemea kununua bidhaa ndogo ndogo kwa wamachinga pale Mwenge mjue leo ndio mwisho eneo lile limesafishwa na hapatakiwi kuonekana mtu yoyote anafanya biashara.
Maendeleo hayana vyama!
Duh......hadi kule kwa Gamanywa?Juzi wamebomoa mtaani jogoo kuelekea juu viwandani, mwanzo tulifikiri ni along barabara kubwa kumbe zoezi ni mpaka mtaani.
Kwa upande mwngine inatia huruma kuona wanafukuzwa wngne ndo mkate wa kila siku unapopatikana but kwa angle nyngne mazingira ya barabara ynakua hyatamaniki kbsa folen zsizo za ulazima imagine mtu biashara hadi anavuka chaki jmni dah kweli riziki inatafutwa kiugumu sana
Kote wamepita ila ni pale kwenye kona ya kuingiliaDuh......hadi kule kwa Gamanywa?