Suala la Wamachinga limefika Pabaya

Kipindi icho ajira za serikali na private nje nje hawakuwapanga leo hii ajira hakuna waanze kuwasumbua.. Wahakikishe uko wanapowaprleka wanawapa allowances mpaka biashara zao zitakapo changamka.
 
Ccm imeshapoteza ushawishi kwa umma, Magufuli aliwaachia wamachinga kufanya biashara kiholela maana alijua wamachinga ni washabiki wa Cdm. Hivyo alifanya hivyo ili kuwapora Cdm wafuasi. Hivyo kitendo cha serikali hii ya ccm kuwatoa wanachonga barabarani bila kuwapa ajira nyingine ni kujiingiza matatizoni. Hivyo watafanya chaguzi za kikatili sana ili kuwafanya waendelee kubaki madarakani kwa shuruti.
rikali ya Chama cha Mapunduzi, Ndiyo waliwaruhusu kuwapo humu barabarani, Serikali hii hii ndiyo itawaondoa, CCM orijino haiwezi kukubali hali kama hii kuendelea kuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Machinga wahimizwe kujiunga na kupangisha fremu

Ndio mwanzo wao wa kuwa wafanyabiashara wakubwa
 
Hakuna aliewakataza kujishughulisha issue ni maeneo waliyopo

Watoke barabarani wapangishe fremu hata kwa vikundi maisha yaendelee
 
Kipindi icho ajira za serikali na private nje nje hawakuwapanga leo hii ajira hakuna waanze kuwasumbua.. Wahakikishe uko wanapowaprleka wanawapa allowances mpaka biashara zao zitakapo changamka.
Any smart person unaefuata taratibu utapangisha fremu rasmi kabla ya kubomolewa...

Machinga waache ubishi hawatashinda
Wameshapata mtaji kidogo ni sahihi sasa waingie ktk mfumo rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…