Habari ndugu zangu!
Naomba kufahamu ni Kada ipi katika Utumishi wa Umma ambayo watumishi wake wanatumia sub-vote code 2208.
Nakumbuka nilipokuwa mwalimu wa Shule ya Secondary nilitumia sub-vote code 5008 na ilionekana ktk salary slip yangu. Je, sub-vote code 2208 ni ya Kada ipi katika Utumishi wa Umma?