ile mechi ya Sevilla hata sub zisingefanyika tungepigwa tu,wale majamaa wapo juu sanaIla umenikumbusha mechi ya sevilla🤣🤣🤣🤣
Hapana mzee hilo nakataa ni kweli sevilla wapo juu lakini ile mechi walidharau na walikua wanaenda kuaibika, yani kila nikiangalia hadi marudio ile mechi naishia kunyoosha kidole cha kati kwa uchebe popote alipoile mechi ya Sevilla hata sub zisingefanyika tungepigwa tu,wale majamaa wapo juu sana
Haisaidii. Umeumbuka kwa kukurupuka kujibu kipuuzi.Jipige kifuani Mara tatu kisha jiambie, 'Mimi malantu ni mjinga wakupindukia "
Ujiambie Mara tatu pia.
Mkuu mbona umesimulia kitu ambacho kila mmoja kaona
Nikajua Uzi wako, una maelezo mengine yatokanayo na maoni.
Basi ungekaribisha watu wajadili .
Au ndo speed za kuwahi kuandika kilichotokea kabla hujawaiwa???.
Umeona peke yako au?? Kocha alitaka waingie wawili wakati aliyeinuliwa kutoka bench ni mmoja?? Refa wa akiba ameletewa mchezaji mmoja tu na ameonekana ni Wawa. Wewe hayo umeyatoa wapi?? Acha ukilaza pimbi wewe.Hata mashabiki hamna kitu wengi tumejaa mihemko hatujui Sheria za football.Si umeona comments za huko juu wanavyoparurana na kutukanana? Wengine wanamtupia lawama matola na hitimana wafukuzwe ilhali hawahusiki na chochote kilichotokea
Kocha alitaka waingie wawili km ulivyosema Ila refa kaharibu utaratibu,pengine nae usikute hajui hii Sheria ya covid 19 maana kaganya kosa mara mbili...
Ila kocha ana hasira sn,sasa Ile chupa na lile bango alilopiga Teke vimemkosea nini[emoji1787][emoji1787].Au ndy hasira za kizungu?
Hata mashabiki hamna kitu wengi tumejaa mihemko hatujui Sheria za football.Si umeona comments za huko juu wanavyoparurana na kutukanana? Wengine wanamtupia lawama matola na hitimana wafukuzwe ilhali hawahusiki na chochote kilichotokea
Kocha alitaka waingie wawili km ulivyosema Ila refa kaharibu utaratibu,pengine nae usikute hajui hii Sheria ya covid 19 maana kaganya kosa mara mbili...
Ila kocha ana hasira sn,sasa Ile chupa na lile bango alilopiga Teke vimemkosea nini[emoji1787][emoji1787].Au ndy hasira za kizungu?
punguzeni mihemkoHapana Sheria wakati wa COVID zile sub za wachezaji watano zinafanyika mara tatu tu. 2, 2,1. Sasa Kama ushaingiza wawili tayari then mmoja inamaana unabakiwa na sub ya mchezaji mmoja. Huyo mmoja aliyebaki hawezi Tena kuingizwa. Ndo maaana pale mwisho Wawa akiwa na mwenzie amezuiwa kuingia. Angeweza kuingia lakini tungekiuka kanuni na may be kupokwa points
Labda tusubirie alichoongea PABLO baada ya mechi ..
Yeye ndiye anayejua kwa nini vile.
But vyovyote itakavyokuwa KOCHA PABLO ametuma ujumbe tosha kuwa yeye ni mtu wa aina gani inapokuja issue ya msimamo wake.
Wachezaji na wadau kuwa hana mchezo mchezo...inapokuja issue ya kibarua chake...wachazaji mjipange haswa..mkijua and this is professional...
JF sio kijiweni, Acha atuhabarishe.Mkuu mbona umesimulia kitu ambacho kila mmoja kaona
Nikajua Uzi wako, una maelezo mengine yatokanayo na maoni.
Basi ungekaribisha watu wajadili .
Au ndo speed za kuwahi kuandika kilichotokea kabla hujawaiwa???.
Vizabina zabina hao. Masikio wazi kusikiliza kwa jirani kuna nini wasambaze umbea.Mkuu mbona umesimulia kitu ambacho kila mmoja kaona
Nikajua Uzi wako, una maelezo mengine yatokanayo na maoni.
Basi ungekaribisha watu wajadili .
Au ndo speed za kuwahi kuandika kilichotokea kabla hujawaiwa???.
Sasa aibu ya nini wakati hujui kilichosababisha? Tuambie kilichosababisha tuconclude kama ni aibu au ilikwaza.Hii kitu imetia aibu Sana mkuu, hata sijajua ttzo nini hadi kocha awe na reaction kubwa ya Aina Ile!
Huyu kocha ana hasira za kuiga,unajua wanamichezo hasa huu wa mpira huwa wanaigana mambo mfano namna ya kutema mate,mchezaj kushndwa kufanya kitu anaanza kupga chini kwa mkono hv vyote wanaigana hawa mapimbi,hakukuwa na tukio la kuwa na hasira za hvyoHata mashabiki hamna kitu wengi tumejaa mihemko hatujui Sheria za football.Si umeona comments za huko juu wanavyoparurana na kutukanana? Wengine wanamtupia lawama matola na hitimana wafukuzwe ilhali hawahusiki na chochote kilichotokea
Kocha alitaka waingie wawili km ulivyosema Ila refa kaharibu utaratibu,pengine nae usikute hajui hii Sheria ya covid 19 maana kaganya kosa mara mbili...
Ila kocha ana hasira sn,sasa Ile chupa na lile bango alilopiga Teke vimemkosea nini🤣🤣.Au ndy hasira za kizungu?
Sikuungi mkono 100% , but my first assumption was him.Yule mrundi Hitimana asipofukuzwa hatuwezi kwenda kokote. very foolish
Wengine hatujaonaMkuu mbona umesimulia kitu ambacho kila mmoja kaona
Nikajua Uzi wako, una maelezo mengine yatokanayo na maoni.
Basi ungekaribisha watu wajadili .
Au ndo speed za kuwahi kuandika kilichotokea kabla hujawaiwa???.
Wanagombea madaraka, Selemani Huwa hakubali kuwa second fiddle japo hana vyeti ila waganga na fitna tu. Watajiju.Hii kitu imetia aibu Sana mkuu, hata sijajua ttzo nini hadi kocha awe na reaction kubwa ya Aina Ile!
Mimi sinaga mihemko Kwa watu wenye stress km wewe..hukuwa na sababu ya kuniita pimbi hata km sipo sahihi maana sijaandika ili unitukaneUmeona peke yako au?? Kocha alitaka waungie wawili wakati aliyeunuliwa kutoka bench ni mmoja?? Refa wa akiba ameletewa mchezaji mmoja tu na ameonekana ni Wawa. Wewe hayo umeyatoa wapi?? Acha ukilaza pimbi wewe.