Full registered means iko bongo tayari,
Why still unaweka picha za mwanzo za kule nje?
Au hapa bongo tayari ishakula mizinga na pasi za kutosha kiasi cha kutotamanika kwenye picha?
Zigo linakula wese halina tofauti na meli!!
Sparepart zake zinapatikana kwa urahisi au mpaka uvuke border?