Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
Yes forester ni gari nzuri lakini sijajua kwanini vijana wengi wakiyanunua hawakai nayo zaidi ya miezi 6 wanauza...Subaru Ni Forester
Umeona Kwa vijana wangapi?Yes forester ni gari nzuri lakini sijajua kwanini vijana wengi wakiyanunua hawakai nayo zaidi ya miezi 6 wanauza...
Chukua ndege ya chini Subaru Forester
Crown mchumba kwa subaruUnaijua crown lakini [emoji28]
Yes forester ni gari nzuri lakini sijajua kwanini vijana wengi wakiyanunua hawakai nayo zaidi ya miezi 6 wanauza...
SUBARU utaijua Safarini na rough road