Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiangalia review ya watumiaji na kigezo cha parts na wingi wa aina zote za magari hapa kwetu kwa maana ya ufundi ndizo sifa zimenifanya nishauri subaru zaidi ya OutlanderUnaweza kutaja sofa za Subaru dhidi ya Outlander?
Maelezo yamenyooka, naona chuma ipo kwa Dada Jamila hapoMimi nipo nayo hapa Subaru forester XT hii ni wiki ya tatu Toka nianze kumiliki hii gari kwahiyo nitakupa ABC za forester Tu kwasababu outlander sijawahi hata kuendesha.
1) forester inahitaji uangalifu wa Hali ya juu Sana kwenye service hasa engine oil, oil filter
2) haya magari sio ya kuingia kila kituo cha mafuta( hapa itabidi uweke unleaded petrol Tu au premium petrol)
3) zenye turbo ndiyo zinahitaji zaidi umakini wa kuangalia oil na coolant kilasiku na oil zake ni Atlantic, liqui moly na castor Tu
4) kwenye performance kama utachukua XT hii ni zaidi ya ndege maana huyu mnyama anapaa hatari sana na ina nguvu si mchezo
5) mziki wake ndani uko vizuri hakuna haja ya kuongezea woofer
#kwa upande wa outlander inafanana Sana na forester ingawa kwenye performance sijui ila hizi gari Zina matoleo mawili yaani Ile ya CC 1790 na CC 2400 hii ndiyo inafaa zaidi Kwa MTU wa safari ndeguView attachment 3075505View attachment 3075511View attachment 3075512
Hiyo design hapo mbele is nope, kwa wale wazee wa off road, simplicity is the keyOutlander imekaa kama gari. Sijui performance na changamoto zake
View attachment 3075297
Hahahaha 😂 🤣 🤣 🤣Kwasababu huna pesa chukua carina Ti itakufaa kuendana na kipato chako
Labda alitaka kumchukulia nyumba ndogo kwanza 🤣Hahahaha 😂 🤣 🤣 🤣
Kuna post yake huyo jamaa anaulizia gari ya million 4