Ila ajipange Spea bei yake si ya mchezo mchezonissan dualis mkuu
Huwa zina shida ya driving shaft, ila kama wadau walivyo sema gari ni matunzo. kama spea unamudu karibu kwenye chama la NissanApart fron spair kuna issue nyingine yoyote na hii dualis mkuu.
Spare tutapambana
Hakuna gari Hapo, hizo zote ni mbolea tu!Habari wakuu,
Nina mpango wa kuchukua chombo na interest ya yangu ni kwa hizo tajwa hapo juu. Forester ya 2007+ , escudo new model 2007+ na hiyo nissan dualis. Naombeni kupata ushauri wenu in terms of uimara, fuel consumption, stability na mengineyo. Zote ni cc2000 though. Natanguliza shulrani.