Subaru forester

HSella

New Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1
Reaction score
1
Gari Subaru Forester Silver la mwaka 2001, cc 2000 linauzwa. Gari iko katika hali nzuri kabisa na inatembea. Contact no 0712556010,0655033300 au 0754032000. Bei yake 8m maongezi yapo.
 
Gari Subaru Forester silver la mwaka 2001 linauzwa. Gari iko katika hali nzuri kabisa na inatembea. Contact no 0655033300 au 0754032000. Bei nzuri na ni ya maelewano. Hakuna dalali.

Katika mazingira ya ushindani wa biashara, MATANGAZO si nyanja ya kufanyia mzaha hata kidogo. Unless wewe siyo serious seller, ungetuonyesha bei ya kuanzia, picha, cc, mileage n.k. ili seriuos buyer apate majibu ya maswali yake ya msingi (ashawishike) kabla hata hajakutafuta kwenye simu yako.
 
Weka hizo details
 
kutuambia cc na mwaka haijitoshelezi.. sema kilometer ngapi imetembea, ni auto au manual weka option zote, pia picha ni muhim sana

Gari Subaru Forester Silver la mwaka 2001, cc 2000 linauzwa. Gari iko katika hali nzuri kabisa na inatembea. Contact no 0712556010,0655033300 au 0754032000. Bei yake 8m maongezi yapo.
 
kutuambia cc na mwaka haijitoshelezi.. sema kilometer ngapi imetembea, ni auto au manual weka option zote, pia picha ni muhim sana
Weka na picha tuone ili tuvutike kukutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…