Kama haina turbo ni around 8 to 11, kwa MT ( inategemea na mguu wako ) kama AT ni around 8 to 10
high way 12 to 15
kwa kifupi Subaru kwenye mafuta ni kama gari yoyote yenye CC2000, hasa ambayo haina turbo, watu wanaziogopa kutokana na historia, tulizoea kuyaona kwenye mashindano ya magar ambazo tayar zishafanyiwa tuning bas tunaziogopa ila ni gari imara ngumu na nzuri sana