ebbyramadhani
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 101
- 109
Wakuu, vipi subaru impreza katika matumizi.
Ulaji wa mafuta, uvumilivu katika matumizi, upatikanaji wake wa spea na gharama zake za spea.
Je, ni gari ya kumiliki kwa wale wenye vipato vya kawaida ukilinganisha na izi toyota ist,raum au vitz kwenye upatikanaji wa spea na uvumilivu?