Subaru Impreza ipoje katika matumizi?

ebbyramadhani

Senior Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
101
Reaction score
109
Wakuu, vipi subaru impreza katika matumizi.

Ulaji wa mafuta, uvumilivu katika matumizi, upatikanaji wake wa spea na gharama zake za spea.

Je, ni gari ya kumiliki kwa wale wenye vipato vya kawaida ukilinganisha na izi toyota ist,raum au vitz kwenye upatikanaji wa spea na uvumilivu?
 
Gari baya. Uvungu wake upo chini sana.
Pia pua yake ndefu kupita kiasi.
 
Gari yeyote hata corolla ti ikikosa matunzo sahihi itakutesa gari n matunzo ndo maana si wapenda magari huwa tunasema gari n zaidi ya mke any ehee go for it ikiwa natural aspired n nzur zaidi kama n mgenyi ktk magari but if n turbo kuwa na nidhamu ya uendeshaji ukishapita gari lako nichek nikuunge ktk Subaru impreza family Tanzania w3nzio watakupa experience zaidi wanaishi vp na magari yao na yanapendeza vp
 

Hii whatsapp au telegram boss??
 
Tatizo la subaru ipo chini sana...pua kua ndefu ni advantage inaweza kukukinga zaidi wakati wa ajali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…