Unataka ya rangi gani?Wanajamvi mliowahi miliki subaru je mafuta,,mbio,,service.Comfortability na kwa safari ndefu uzoefu wenu
Kaimba ushauri wa impreza..we hujampa ushauri unaanza kumbadilishia option.Chukua Subaru Forester,hutajuta kamwe!
Kumbe alikuwa anaimba,sikujua nduguKaimba ushauri wa impreza..we hujampa ushauri unaanza kumbadilishia option.