EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Subaru impreza xv 2013 model yenye hybrid system, inauzwa 39M Tsh
Kwa maelezo zaidi PM.
Kwa maelezo zaidi PM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzigo upo mwake huo.Mzigo umetulia, binafsi huwa napenda hizi chuma zinapofungulia turbo...
Mafundi wajiandae kwenda kusomea ufundi vyuo vikuu,miaka michache ijayo tunaenda kwenye enzi mpya ya full computerized cars.Ndiyo watajua kuwa hawajui!Tatizo la Magari Hybrid Bongo mafundi hakuna wachache waliopo bado ni wa kubabaisha sana. Ile Genereation ya Mafundi wazuri wa Magari imepotea saivi mafundi wengi waliopo ujanjajanja mwingii.
Kweli kabisa Mkuu...maana Tech inavyokua kwa Kasi ufundi wa Kubabaisha hauna nafasiMafundi wajiandae kwenda kusomea ufundi vyuo vikuu,miaka michache ijayo tunaenda kwenye enzi mpya ya full computerized cars.Ndiyo watajua kuwa hawajui!
Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya mafundi kwa sababu mtu anamaliza darasa la saba kisha anakataa kuendelea na form one kwa madai kuwa anataka aende ufundi wa magari halafu ufundi wenyewe anaoenda wala siyo hata VETA bali ni kwenda garage akajifunze kupitia washikaji zake huko.Sasa haya magari ya kisasa ambayo ni full computerized mafundi kama hawa watawezena na magari?Kweli kabisa Mkuu...maana Tech inavyokua kwa Kasi ufundi wa Kubabaisha hauna nafasi
Haha! nlienda garage moja jinsi wajavyo ita spare parts utashangaaTanzania tuna changamoto kubwa sana ya mafundi kwa sababu mtu anamaliza darasa la saba kisha anakataa kuendelea na form one kwa madai kuwa anataka aende ufundi wa magari halafu ufundi wenyewe anaoenda wala siyo hata VETA bali ni kwenda garage akajifunze kupitia washikaji zake huko.Sasa haya magari ya kisasa ambayo ni full computerized mafundi kama hawa watawezena na magari?
🤣🤣🤣🏃Haha! nlienda garage moja jinsi wajavyo ita spare parts utashangaa
Ni kweliTanzania tuna changamoto kubwa sana ya mafundi kwa sababu mtu anamaliza darasa la saba kisha anakataa kuendelea na form one kwa madai kuwa anataka aende ufundi wa magari halafu ufundi wenyewe anaoenda wala siyo hata VETA bali ni kwenda garage akajifunze kupitia washikaji zake huko.Sasa haya magari ya kisasa ambayo ni full computerized mafundi kama hawa watawezena na magari?
Shida kwelikweli...mafundi wa hivi wamekuwa wakiharibu sana Magari ya watu.Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya mafundi kwa sababu mtu anamaliza darasa la saba kisha anakataa kuendelea na form one kwa madai kuwa anataka aende ufundi wa magari halafu ufundi wenyewe anaoenda wala siyo hata VETA bali ni kwenda garage akajifunze kupitia washikaji zake huko.Sasa haya magari ya kisasa ambayo ni full computerized mafundi kama hawa watawezena na magari?
Shida na Ugonjwa mkubwa wa Wabongo ni Uoga wa kuagiza Spare. Yaani Mmbongo ana uwezo wa kuagiza Gari kutoka Japani lakini anaogopa kuagiza Spare Ujerumani au UK😁😁😁Unategemea ununue gari 40m ukatengeneze chini ya mti hakuna gari isiyotengenezwa Tanzania nipo SA ila gari bezote za kisasa uwe na parts yake tuu itatengenezwa bongo wabongo na wabongo hasa Arusha nimewavulia kofia hizo XV hapa wanatengeneza tuu mpaka hizo Tuccson Honda 2015 sumbufu sumbufu lakini zinatulia zikikutana na wadogo watata kwenye kugundua matatizo...
Humu tukiwaambia Kodi imedumaza vichwa wengine wanabisha wenzetu wazambia washazisahau hizo XV na ukiipata hapa ya bei nzuri wateja ni Zambia hapo sisi tushazoea vipasso kwa sababu spare zipo hata kama una hela...hiyo XV unaweza ukaendesha tuu miaka hata zaidi ya mitatu ndio ukahitaji ubadili kitu wateja wengine ni Kenya hapo...Shida na Ugonjwa mkubwa wa Wabongo ni Uoga wa kuagiza Spare. Yaani Mmbongo ana uwezo wa kuagiza Gari kutoka Japani lakini anaogopa kuagiza Spare Ujerumani au UK😁😁😁