Naona tunatoana udenda tu hapa.Habari wadau! Naomba kuuliza kama hzi gari Subaru Imprezza WRX za 2011 (sedan) zinapatikana ktk show rooms za hapa bongo, maana nimeitafuta beforward ya Japan sikuiona. So kama kunamtu anaweza nipatia info ya wapi naweza ipata nitashukuru sana. Vilevile ningependa kujua kuhusu fuel consumptio na vitu kama customization ambazo zinaweza fanyika i.e spoiler au bumper changes.View attachment 412560View attachment 412561