Choro nondo
Member
- May 23, 2018
- 15
- 6
Habari zenu ndugu zangu..natumai ni wazima wa afya kama ndo ivyo tumshukuru mungu kwa pamoja alhamdulilah mimi ndugu zangu na subaru legacyb4 year2004 shida yangu moja tu kwenye ac nikiwasha ac ubaridi unakuja baadae unakata nalafu unarudi tena ivyo ivyo nishajaza sana gas nakusafisha filter lakini wapi